Top News

Tuesday, April 9, 2013

KONA YA MASTAA: MJUE WEMA SEPETU "Maisha ya awali, elimu, na sanaa"

Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006.

Maisha ya awali, elimu, na sanaa 

Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es



Kipaji zaidi cha Wema kiligundulika katika sanaa ya filamu, ambapo alifanikiwa kucheza vema kabisa katika filamu ya A Point of No Return akishirikiana na mchezaji filamu maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba.

Amekuwa na mahusiano na watu maarufu wengi wa Tanzania wakiwemo Mr.Blue,Charlz Baba,Steven Kanumba ,james fredrick, Diamond Platnumz na wengine wengi,ingawa kwa muda huu bado haijajulikana wazi ana mahusiano na nani. Pia Wema amekuwa akijulikana kwa kuwa na sauti ndogo ndogo. 
Wema alivishwa pete ya uchumba na msanii maarufu wa bongofleva Diamond. Lakini kwa sasa wameshaachana ambapo Diamond kwa sasa ana mahusiano na Penniel Mungilwa ( Penny). Pamoja na yote hayo,binti huyu amelelewa na kuishi kama mtu wa Magharibi(Ulaya).
 Tarehe 20 february Wema Sepetu alizindea kampuni yake inayohusika na masuala ya production na burudani Endless Film Productin (EFP)
Wema akiwa na mama yake Mzazi







Katia historia ya Film Wema aliwahi kumleta muigizaji wa kimataifa OMOTOLA JALADE kuja kuzindua filam yake ya SUPER STAR june 2012
Kushoto ni Mc Benny kati Amotola na kulia ni Wema Sepetu

Wema akiwa Bint machachari kwa sasa anamiliki nyumba iliyokadiriwa kua na thamani ya milioni 400

No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ