Top News

Tuesday, March 26, 2013

PICHA ZA MIKUFU, VIDANI, NA CHENI HERENI NK ZENYE MAUMBO YA AJABU

Katika pita pita zangu za hapa na pale za kupta taarifa nimekuta na na picha hihi zilizo nistaajabisa kidogo nikaona nawe mdau wangu usizikose. ni mikufu. pete . hereni na vidani tofauti touti ambavyo vimenipa mashaka nakujiuliza hawa wabunifu wamekosa maumbo mengine kabisa hadi kuamua kutumia maumbo ya nyoko
Ninavyo amini mimi nyoka ni mnyama ambae hapndwi na wa watu na hata kwenye bibilia alikwisha laaniwa vipi kwa hawa wabunfu, niliendelea kujiwa na hisia kua inawezeka vitu hivi ni moja kati ya vile vitu ambavyo vimea vikitajwa sana kua ni vitu vinavyo tengeneza na kuwekewa chata za Freemason. na ni chata ambayo imekua na nguvu na ushawishi sana kwa watu Jamani tuweni makini na huu urembo.








No comments :

Post a Comment

Designed By ApexbnewZ